Mwenyewe alijitetea kuwa walikuwa kwenye starehe zao yeye pamoja rafiki zake, ambapo kila mtu alikuwa na mpenzi wake, so ilitokea tu wakajikuta wamekisi na rafiki yake huyo wa kike katika hali ya furaha kama marafiki wengine tu, na hakufikiria kuwa lile tukio lingekuwa ishu sana kwenye mitandao. aliendelea kutiririka kuwa yeye sio msagaji na anapenda wanaume kama wasichana wengine WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Home »
Zari The Lady Boss
» Zari Ajitetea 'Mimi Sio Msagaji ilitokea tu Nikakisi na Msichana Mwenzangu kwa katika Hali ya Furaha'
Zari Ajitetea 'Mimi Sio Msagaji ilitokea tu Nikakisi na Msichana Mwenzangu kwa katika Hali ya Furaha'
Super star kiwango anayetikisa East Africa kwa sasa , zarinah hassan aka
bossy lady, amefunguka kuhusu scandal ya usagaji iliyomtafuna miezi
michache iliyopita, akizungumza kupitia kipindi cha sporah show, mrembo
huyo mwenye mvuto wa aina yake alifunguka kuhusu kashfa hyo, ambapo
picha yake akiwa kwenye mahaba na mrembo mwenzie zilisambazwa mitandaoni
na kuzua gumzo kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii
Mwenyewe alijitetea kuwa walikuwa kwenye starehe zao yeye pamoja rafiki zake, ambapo kila mtu alikuwa na mpenzi wake, so ilitokea tu wakajikuta wamekisi na rafiki yake huyo wa kike katika hali ya furaha kama marafiki wengine tu, na hakufikiria kuwa lile tukio lingekuwa ishu sana kwenye mitandao. aliendelea kutiririka kuwa yeye sio msagaji na anapenda wanaume kama wasichana wengine WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Mwenyewe alijitetea kuwa walikuwa kwenye starehe zao yeye pamoja rafiki zake, ambapo kila mtu alikuwa na mpenzi wake, so ilitokea tu wakajikuta wamekisi na rafiki yake huyo wa kike katika hali ya furaha kama marafiki wengine tu, na hakufikiria kuwa lile tukio lingekuwa ishu sana kwenye mitandao. aliendelea kutiririka kuwa yeye sio msagaji na anapenda wanaume kama wasichana wengine WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
Labels:
Zari The Lady Boss
0 comments:
Post a Comment