Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Shilole Aapa Kutopiga Picha Za Faragha Akiwa na Mpenzi Wake

Shilole Aapa Kutopiga Picha Za Faragha Akiwa na Mpenzi Wake

Staa wa Bongo movies na Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amesema kuwa  hatapiga tena picha akiwa faragha na mchumba wake Nuh Mziwanda kwani zimekuwa zikivuja bila yeye kujua na kusababisha adhaulike kwenye jamii.

Akizungumza na gazeti la Tanuru la Filamu, Shilole alisema alikuwa akifanya hivyo ili badaye  akiwa yuko mbali na mpenzi wake apate kuangalia jinsi walivyokuwa wakifurahishana lakini mambo hubadilika zikivuja na hivyo kuwa kwaza mashabiki wake ambao wanaheshimu sanaa yake

 “Naapa kutopiga picha za utupu nikiwa faraga na mpenzi wangu kwani awali nilikuwa nikifanya hivyo pasipokujua kama zinaweza kuvuja kwenye mitandao ya kijamiikwani mpakasasa sijui huwa zuina vujaje na ili kukomesha halin hiyostitafanya upuuzi huo tena” alisema Shilole WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips