Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Taarifa hivi punde :

Taarifa hivi punde :

Askari was pikipki  wa Jeshi LA police morogoro waliokua wakitumia pikipiki no PT 823 Mali ya jesh LA police wamewekwa chini ya ulinzi na raiya eneo LA Mindu na raia wamemuua mmoja wao aitwae Ramadhani.
Chanzo cha sakata hili ni ajali ya pikipiki waliokua wakiifukuza ambapo ilimshinda dreva bodaboda na kuingia kwenye lori.  Ndipo raia walipoanza kuwatuhumu police ni chanzo cha ajali na police waliamua kufyatua risasi hewani. 
Hali ikawa tofauti, baadala ya raia kutawanyika waliongezeka na kuwazidi nguvu askari.
Cha kushangaza raia wamemuuwa kwa mawe askari mmoja na mwingine walimwambia yeye hana makosa. Aliyeuwawa ni yule anaedaiwa kumuua marehrem Ali Zona muuza magazeti katika harakati za maandamano ya CHADEMA 2011.

WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips