Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Jack Dustan: Sisi Mastaa wa Kike Ndio Vinara wa Kuchukua Waume za Watu Bongo Tusipobadilika Watatuua

Jack Dustan: Sisi Mastaa wa Kike Ndio Vinara wa Kuchukua Waume za Watu Bongo Tusipobadilika Watatuua

Staa aliyepata umaarufu kupitia Shindano la Maisha Plus, Jacqueline Dustan amefunguka kuwa mastaa wamepachikwa nembo ya kuwa ni vinara wa kubeba waume za watu jambo ambalo linawapa sifa mbaya.

Akizungumzia mwenendo wa mastaa wengi kuhusishwa na skendo ya kutembea na waume za watu, Jack alisema:

Yaani sisi mastaa tumepachikwa nembo ya kupora waume za watu. Imefika wakati hata kama umempata mpenzi wako mtu anakuuliza umempora nani. Huwa inaniuma sana.

Kimsingi tuna sifa mbaya na tusipobadilika waume za watu hawa watatuua.” WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips