Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Shutuma za Albert Msando Kukimbia na Kutelekeza Wananchi Wake Walio Mchagua Kama Diwani Moshi

Shutuma za Albert Msando Kukimbia na Kutelekeza Wananchi Wake Walio Mchagua Kama Diwani Moshi

Nimekutana na Hili Jamii Forums....Nikaona si la Kupuuzia ..Alberto Msando Ana la Kujibu Hapa

"Akiwa kijana mdogo, msomi na mwenye mvuto wa kisiasa wakazi wa mabogini walikupa heshima ya kuwa diwani wao.

manispaa ya moshi ndio yenye madiwani wengi wa CDM kati ya nyingi nchini. Msando aliaminiwa.

Ajabu na kweli amekimbia kata, haonekani, wananchi wana hasira sana na huyu jamaa.

kama ni kukikomoa chama cha Chadema kwa kutokufanya kazi ulioomba wananchi na kukiri unaiweza basi umejimaliza mwenyewe.

Ukiwa kijana unapokwenda mbele ya wananchi uwe mkweli, wananchi huchagua mtu mara nyingi sana kabla ya chama. ndio maana hupiga kura. Kura zilipigwa na watu wote kukuchagua bila kujali itikadi ya kisiasa.

Leo umewaacha wananchi wako kama huwajui vile.

Diwani wa mabaogini Albert Msando umetia aibu kubwa sana - Mungu akuonyeshe kweli huko ulipo sasa"

Written By Chief Mkwawa- 360 degreee via JF WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips