Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Hatimaye Mwigizaji SHAMSA FORD Atoboa Kuwa Nay ndio “EndlessLove” Wake

Hatimaye Mwigizaji SHAMSA FORD Atoboa Kuwa Nay ndio “EndlessLove” Wake

Staa mrembo wa Bongo Movies Shamsa Ford ambae siku za hivi karibuni alikanusha waziwazi alipokuwa akihojiwa na vy mbo mablimbali vya habari juu ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi wa Staa Nay wa Mitego hatimaye jana kupitia ukurasa wake mtandaoni alibandikaa picha yake pamoja na ya Nay ankuandika maneno ya kimahada yaliyosomeka “Miss u so much my endlesslove.”

Kitendo ambacho kinathibitisha kuwa wawili hawa wapo kwenye penzi moto moto

Siku za hivi baribuni zilisambaa picha za wawili hawo wakiwa wanadendeka wadaku wakahisi wa wili hawo wanatoka lakini Shamsa alijitokeza na kusema kuwa hao wapo kwenye project ambayo itatoka hivi karibuni na kusisitiza Nay ni binamu  yake.

Nadhani hapa sasa anataka tuamni kale kamsemo ka binamuu…… WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips