Wawili hao waliwahi kudaiwa kuwa na uhusiano lakini wote walikanusha.
Mtangazaji mahiri wa masuala ya udaku nchini, Soudy Brown kupitia You Heard ya Clouds FM amejaribu kumchimba Meninah kuhusiana na tetesi hizo ambazo zinaongeza kuwa Diamond alimpiga chini baada ya kiumbe chake kukatishwa.
Hata hivyo huenda jibu alilopata mtangazaji huyo hakuwa amelitegemea.
“Kwani (Diamond) sio rijali,” alihoji mrembo huyo. “Yeye hafai kumbebesha mwanamke mimba,” alisisitiza Meninah huku akicheka. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment