Hii imekuja kama suprise kwangu kwani wakati wote wa ujauzito alikuwa kimya tofauti na mtaa wa pili wanavyoinadi mimba ya wifi wa taifa na angalau sasa walimwengu watapunguza kuongea maneno yao ya kukera nafsi.
Hongera sana Mboni Masimba.Mola akukuzie Inshaalah. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment