Saint
Vincent and the Grenadines, ni nchi ambayo ni kisiwa karibu na Barbados
kwa kina Rihanna, kwa sasa kipo pia kwenye muungano wa mataifa ya
mashariki mwa Caribbean.
Kisiwa cha Crete kipo Ugiriki ambacho ni namba 5 katika list ya visiwa vikubwa vya bahari ya Mediterranean.
Victoria
Falls Zimbabwe/Zambia, wanasema September 2015 kuna uwanja wa ndege wa
kimataifa utafunguliwa kwenye mpaka wa Zambia na Zimbabwe ili hii sehemu
iwe rahisi kufika.
Gozo
(Malta) ipo kwenye list na unaambiwa sehemu hii inatarajia ugeni mkubwa
wa Watalii baada ya movie mpya ya Angelina Jolie ‘By the sea’ kutoka
baadae mwaka huu, ni kisiwa kipo bahari ya Mediterranean kwenye nchi ya
Malta ndani ya kusini mwa bara la Ulaya.
0 comments:
Post a Comment