Msanii wa muziki kutoka Chocolate City, Victoria Kimani anaziandika headlines kwenye kurasa za burudani… Baada ya kuachia audio ya single yake mpya Booty Bounce single iliyosimamiwa na Mtayarishaji Reinhard, msanii huyo kutoka Kenya amerudi tena kuisambaza official music video ya wimbo huo.
Hapo awali Victoria Kimani ameweza kuzikamata chati za countdown na nyimbo zake kama ‘Show’, ‘Two Of Dem’, ‘Prokoto’ (feat Diamond Platnumz & Ommy Dimpoz) na sasa wimbo wake mpya wa ‘Booty Bounce’ umeanza kuweka headlines mpya kama hit single nyingine inayokuja kusumbua chati za countdown mbali mbali Africa.
Wimbo huu unapatikana kwenye Album mpya ya Kimani
inayotegemea kuwa sokoni very soon, lakini kama bado video hii
haijagusa macho yako basi feel free kuicheki video hiyo hapa chini.
0 comments:
Post a Comment