Jumla ya vitanda 500 na magodoro 500 vimeshushwa katika Hospitali ya
Taifa Muhimbili jana Baada ya Rais Magufuli Kuamuru hela za kufanyia
Sherehe yake zaidi ya mil 200 zitumike kununulia vitanda vya wagonjwa.
.
kuna watu wengine bhana kila kitu kupinga hata Yale yanayofanyika na
tunaona yanastahili kupongezwa. Nani angeweza kuliko Tinga tinga
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment