Wana jamvi kuna mdau amenirushia ratiba ya ukawa mikutano na maandano nchi nzima kuanzia tarehe april 30-mei 4 kama ifuatavyo;
dr slaa,mtatiro na prof safari watakua dodoma na pwani;maalim seif shariff hamad na mabere marando watakua mbeya;kabwe zitto na chiku abwao kilimanjaro,tindu lissu na lipumba mwanza,kagera.simiyu;pemba na unguja mbowe,anna komu na habibu mnyaa;tabora- kigoma;jussa na wenje;dar sugu na lema;tanga mdee na machemli;shinyanga;mnyika,shib uda na nassari;singida v-nyerere na opolukwa; taarifa zaidi zitatolewa kadri zitakavyo patikana kupitia njia zote. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment