Add caption |
Nina mwili wa kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba
unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
NisaidieniWEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment