Katibu mkuu kiongozi Ombeni Sefue amesema rais.John Pombe Magufuli
amefuta maadhimisho ya siku ya Uhuru December 9 na kuagiza fedha
zilizopangwa kwa shughuli hiyo zitengwe kwaajili ya kufanyia shughuli
nyingine na pia akaagiza siku hiyo kutumika kwaajili kufanya usafi nchi
nzima kwaajili ya kukabiliana na ugonjwa wa Kipindupindu.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Home »
John Magufuli
» Breaking News: Rais Magufuli Afuta Sherehe za Uhuru Disemba 9..Atoa Agizo Hili..
Breaking News: Rais Magufuli Afuta Sherehe za Uhuru Disemba 9..Atoa Agizo Hili..
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
Labels:
John Magufuli
0 comments:
Post a Comment