Imepita muda kidogo toka French Montana adondonshe mixtape yake ‘Casino Life 2: Brown Bag Legend ‘ lakini good news ni kwamba msanii huyu wa Hip Hop bado ana vitu vizuri kwa ajili yetu.
Baada ya collabo yake na msanii mkongwe wa R&B Mariah Carey, French Montana amerudi kuziweka headlines zake kwenye ukurasa wa hiphop na time hii ameileta hii mpya kabisa aliyoipa jina ‘To Each His Own’ ngoma inayotoka kwenye mixtape yake mpya.
Video yake imenifikia mtu wangu na kama hukufanikiwa kukutana nayo basi karibu uitazame hapa chini.
0 comments:
Post a Comment