Tyga kwenye headlines, baada ya kuachia video mpya wiki iliyopita ‘Bu$$in Out Da Bag msanii huyo wa Hip hop hana mpango wa kumpumzika, yani ni ngoma juu ya ngoma na time hii anaisogeza kwetu video nyingine mpya!
Wimbo unaitwa Glitta na kama bado haujakufikia karibu uutazame hapa chini mtu wangu
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment