Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Baada ya Baadhi ya Mashabiki Kumshambulia kwa Maneno, JB Asema Haya

Baada ya Baadhi ya Mashabiki Kumshambulia kwa Maneno, JB Asema Haya

Kufuatia kitendo baadhi ya mashabiki kumshabulia kwa maneno makali staa wa Bongo Movies, JB kwa kuonyesha mapenzi yake kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuelekea uchaguzi wa mwaka huu, JB amefunguka haya kwenye ukurasa wake mtandaoni kuwataka wabadilike kimtazamo.

Hakuna kitu muhimu kwenye maisha kama furaha....lakini furaha ina ambatana na kufanya mambo ambayo moyo wako unapenda bila kuvunja sheria.

Kuishi maisha ya kuogopa kitu unachopenda kwa sababu ya watu ni kuinyima furaha roho yako...watanzania wenzangu tuanze tabia ya kuheshimu maamuzi ya wenzetu.

Angalia hata kwenye mahusiano yetu watu wakiachana ni uhasama..kisa hatukubali kuwa mwenzako moyo wake uko kwingine.

Eti lazima akupende ww tu..haa...kwenye siasa ndio usiseme mtu akipenda upande mwingine ashakuwa adui.Aaah tubadilike.....sambaza upendo..+255 kwanza. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips