Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Rafiki Yangu wa Kike Ananishawishi Niingie Katika Mapenzi ya Jinsi Moja (Usagaji)

Rafiki Yangu wa Kike Ananishawishi Niingie Katika Mapenzi ya Jinsi Moja (Usagaji)

Mimi ni Msichana wa makamo tu nimeolewa miaka miwili sasa na nina watoto wawili , nafanya kazi kwenye kampuni moja kubwa tu hapa Dar es salaam , hivi karibuni nimekuwa na rafikia ambae tuna fanya nae kazi hapa ofisini ambae nimekuwa nikimwelezea matatizo yangu na mme wangu kuwa aniridhishi kitandani....cha ajabu aliniambia kama ninataka kuridhika bora niingie katika usagaji ..cha ajabu aliniweka wazi kabisa kuwa yeye huwa anasagwa na huwa anasikia raha sana kiasi wanaume si deal kwake ..Toka aniambie hivyo kila akija ofisini kwangu ananibusu na kunikumbatia kwa nguvu...Juzi alitaka kunivua chupi nikakataaa kabisa kwani bado hainiingiii akilini kufanya mchezo huo na msichana mwenzangu ....japo kwa upande mwingine natamani kujaribu ....Naomba ushauri nifanyaje....No matusi pliz WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips