Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Polisi wakaishtukia cover ya simu kama bastola, jamaa ikabidi aitwe…

Polisi wakaishtukia cover ya simu kama bastola, jamaa ikabidi aitwe…

Gun III
Ni kawaida ukikutana na warembo sikuhizi wamependeza wenyewe, na simu zao wanataka zipendeze vilevile, basi kuna cover za kila aina utawakuta nazo.. wengine midoli, wengine ni maua maua… wanaume ni kawaida pia ukakutana na jamaa ana cover inaonekana kama nguo ya kijeshi hivi.
Jamaa aliyeingia kwenye Headlines Taiwan kakutwa na cover ya simu ambayo imekaa kama Bastola hivi, Polisi wakamwita wakaanza kumhoji kuhusu hiyo kitu ambayo ilikuwa inaonekana ameichomeka kwenye mfuko wa nyuma!!
Gun China
Baada ya mahojiano Polisi wakagundua kwamba hiyo ni cover ya simu, wakamwachia.
Siku chache zilizopita aina hii ya cover za simu iliingia kwenye headlines Marekani ambapo watu wa Usalama walisema silaha sio kitu cha kuleta nacho utani, wameshuhudia mabalaa mengi ya matumizi ya silaha kwa hiyo hawako tayari kuona cover hizi zinazagaa mitaani na watu wanatumia!
GUN
Chuck Schume, Senator wa New York.
Zimeingizwa sokoni na watu wanavutiwa nazo sana, ila zilipaswa kuwekwa lebo ya ‘HATARI’… Leo hii tunasema kwamba bastola sio kitu cha mchezo”—Hii ni nukuu ya alichokisema Chuck Schume, Senator wa New York Marekani.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips