WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Nani Kuhamia Ukawa/Chadema Kesho- Kingunge na Serukamba?
Jamani kesho kwa kutumia haki yao ya kidemokrasia kuna watanzania wenzetu watahama kutoka CCM kwenda UKAWA/CHADEMA. Kwenye list hiyo, nawaona Kingunge Ngombale Mwiru na Peter Serukamba ni watu ambao kimwili wako CCM lakini kifikra wako UKAWA. Sio vibaya 'kuspeculate' kwani siasa zetu za ovyo ovyo ndio zimetufikisha hapa. Kwa wale wenye taarifa za 'chumbani' si vibaya mkaanza kuwatayarishia waandishi wa habari vichwa vya habari vya kesho kwa kutujuza.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment