Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Mgombea Urais John Magufuli Amesema Akishinda Urais Atagawa Kompyuta kwa Kila Mwalimu Nchi Nzima

Mgombea Urais John Magufuli Amesema Akishinda Urais Atagawa Kompyuta kwa Kila Mwalimu Nchi Nzima

Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, John Magufuli amesema akishinda Urais atagawa Kompyuta mpakato(Laptop) kwa kila mwalimu nchi nzima. Amesema atachukua hatua hiyo ili kuinua kiwango cha Elimu Nchini. Pia ahaidi Mil. 50 kila Kijiji kukuza Uchumi akishinda Urais. Source: Raia mwema

Nini maoni yako hapo
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips