Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » King Lawrenc Arudi Tena na Kudai Mtoto wa Diamond si Wake Bali ni wa Ivan Aliyekuwa Mume wa Zari....

King Lawrenc Arudi Tena na Kudai Mtoto wa Diamond si Wake Bali ni wa Ivan Aliyekuwa Mume wa Zari....

Wakati jina la Latifah mtoto wa Diamond na Zari likizidi kukuwa, rafiki wa karibu wa aliyekuwa mume wa Zari, Ivan Ssemwanga, Kinglawrence amemtupia dongo Diamond akisema hakuhitajiki kipimo chochote cha vinasaba DNA ili kujua kuwa, Latifah si mtoto wa Diamond kwani mambo yamejionesha yenyewe baada ya miezi tisa.
Kwenye mtandao wa Instagram, jamaa huyo aliweka picha ya Ivan aliyoiunganisha na picha ya Latifah ili wadau waone walivyofanana. Hapa ana maana kuwa, mtoto huyo ni wa Ivan.

Diamond alipotafutwa aseme neno kuhusiana na madai hayo yote, alipuuza kuhusu mtoto ni wake au si wake, akasema ana furaha iliyopitiliza ya kupata mtoto na kuhusu jina haoni kama kuna tatizo. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips