WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Home »
Diamond Platnum
» Video ya Diamond alivyowajibu Waandishi kwenye press ya MTV Awards 2015 hapa Durban South Africa
Video ya Diamond alivyowajibu Waandishi kwenye press ya MTV Awards 2015 hapa Durban South Africa
Kwenye Press conference hapa Durban South Africa Waandishi wa habari wa nchi mbalimbali Afrika na hata wengine wa Uingereza walikua wakihoji mastaa mbalimbali wanaohusika kwenye tuzo hizi akiwemo Diamond Platnumz, Neyo, P Square na wengine ambapo Diamond alijibu maswali kwa kujiamini na kuelezea mambo mbalimbali kwenye hii video hapa chini.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
Labels:
Diamond Platnum
0 comments:
Post a Comment