Deogratius Mongela
MUIGIZAJI mwenye mvuto anayekuja kasi katika tasnia ya filamu Bongo, Ester Kiama ameweka bayana kuwa hapendi kuwa na marafiki wa kike na hana.
MUIGIZAJI mwenye mvuto anayekuja kasi katika tasnia ya filamu Bongo, Ester Kiama ameweka bayana kuwa hapendi kuwa na marafiki wa kike na hana.
Muigizaji mwenye mvuto anayekuja kasi katika tasnia ya filamu Bongo, Ester Kiama.
Akifunguka kiunagaubaga, Ester alisema kutokana na malezi
na maisha yalivyo sasa inabidi aepuke marafiki ambao wengi wao ni
wanafiki.
“Wengi wanajua naringa sana lakini ukweli sipo hivyo ndiyo
maana muda mwingi nautumia katika kufanya shughuli zangu na kujiepusha
na makundi kwani najua madhara yake, washikaji zangu ni wanaume kwani
najifunza mengi kupitia kwao,” alisema Ester.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment