Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Mapenzi Sikuhizi Nipe, Nikupe..Money On The Table, Funguo ya Chumba Mkononi..Kinachofuata....

Mapenzi Sikuhizi Nipe, Nikupe..Money On The Table, Funguo ya Chumba Mkononi..Kinachofuata....

Wasichana wengi wa kizazi cha leo hutoa mahaba ikiwa tu kuna bingo. Vijana wa kiume nao siku hizi wameshtuka, hawatoi mkwanja mpaka wamekula mzigo kwanza. Njia panda ni pale, ambapo nani aanze kutoa chake. Kufanya mapenzi siku hizi ni kama unaingia mkataba wa kibiashara. Money on the table, funguo ya chumba mkononi ndio papuchi iliwe.

Yako wapi mapenzi?

Tunaenda wapi kizazi hiki?

Karibuni kwa mjadala WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips