Chanzo:ITV WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Breaking news: Mramba, Yona Kwenda Jela Miaka Mitatu
Mahakama ya hakimu mkazi kisutu jijini Dar es Salaam imewahukumu kwenda jela miaka mitatu aliyekuwa waziri wa zamani wa fedha Basil Mramba,na aliyekuwa Waziri wa zamani wa Nishati na Madini,Daniel Yona baada ya kukutwa na hatia ya uhujumu uchumi, matumizi mabaya ya ofisi na kuisababishia serikali hasara ya sh bilioni 11.7.Endelea kufuatilia taarifa zetu kufahamu zaidi.
Chanzo:ITV WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Chanzo:ITV WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment