Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Picha sita za Mastaa wa Real Madrid kwenye jezi zao mpya

Picha sita za Mastaa wa Real Madrid kwenye jezi zao mpya

madrid kit 3
Klabu ya Real Madrid imezindua jezi tayari jezi mpya ambazo watazitumia kwenye msimu ujao wa soka katika mashindano tofauti kuanzia Ligi ya Mabingwa, Ligi Kuu ya Hispania na michuano mingine.
Jezi hiyo ambayo imetengenezwa na kampuni ya ADIDAS ambao ndio wadhamini wa mabingwa hawa mara 10 wa michuano ya Ulaya, imenakishiwa kwa rangi nyeupe ambayo ni rangi ya utamaduni ya Real Madrid huku ule weupe ukiwa unang’aa zaidi kuliko ilivyozoeleka kawaida.
Gareth Bale akiongoza mstari wa wachezaji wakati wakiwa wanazindua jezi ya Real Madrid.
Cristiano Ronaldo akiongoza mstari wa wachezaji wakati wakiwa wanazindua jezi ya Real Madrid.
Wachezaji wa Real Madrid akiwemo nahodha Iker Cassillas wameonekana wakiwa wamevalia jezi hii kwa mara ya kwanza wakiionyesha katika uzinduzi wake na tayari imeshainia sokoni tayari kuuzwa kwa mashabiki wa klabu hiyo.
Uwepo wa Iker Cassilas kwenye matangazo ya jezi hizi umewachanganya wengi kutokana na taarifa zilizoenea kila mahali kuhusiana na nyota huyo kuwa yuko mbioni kuihama Real baada ya kuitumikia kwa muda mrefu kufuatia mipango ya klabu hiyo ya kumsajili kipa wa Manchester United, David De Gea.
Gareth Bale naye alikuwepo kwneye uzinduzi wa jezi mpya za Real Madrid.
Gareth Bale naye alikuwepo kwenye uzinduzi wa jezi hizo mpya za Real Madrid.
madrid new kit squad
madrid kit 2
Uwepo wa Iker Casillas kwenye uzinduzi wa jezi mpya umewachanganya wengi kutokana na kuwepo kwa taarifa za kipa huyo kuihama Real Madrid.
Uwepo wa Iker Casillas kwenye uzinduzi wa jezi mpya umewachanganya wengi kutokana na kuwepo kwa taarifa za kipa huyo kuihama Real Madrid.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips