Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » ICC yaitaka A. Kusini kumkamata Bashir

ICC yaitaka A. Kusini kumkamata Bashir



ICC yaitaka A. Kusini kumkamata Bashir

Mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC imeitaka Afrika Kusini kumkamata rais wa Sudan Omar Al-Bashir ambaye anaripotiwa kusafiri kwenda nchini humo kuhudhuria mkutano wa Muungano wa nchi za Afrika ambao unaanza leo Jumapili.
Kwenye taarifa yake , ICC ilisema kuwa waranti mbili za kumkamata Bashir bado ziko. Anatafutwa na mahakama ya uhalifu wa kivita kuhusiana na uhalifu ulitokea katika jimbo la Darfur na anakabiliwa na kesi inayohusiana na uhalifu wa kivita na mauaji ya halaiki.
Kama mwanachama cha ICC, Afrika Kusini inastahli kumkamata Bashir ikiwa atasafiri kwenda nchin humo . Lakini Muungano wa Afrika umekataa kushirikiana na mahakama hiyo ya kimataifa ukisema kuwa ICC inawaonea viongozi wa Afrika.

        Gallos Official Blog
Chanzo BBC WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips