Zimepita siku chache toka Rapper T.I kutoka Marekani adondoshe ngoma yake mpya ambayo ndani yake amemshirikisha R&B Superstar kutoka hukohuko Marekani, Chris Brown.
Ngoma hiyo inaitwa Private Show na kama unatamani kuona nini kipya kiko hapo ndani nafasi yako ndio hii mtu wa nguvu, video yote hii hapa.
0 comments:
Post a Comment