“Mwaka huu
2015 utakuwa ni msimu mzuri wa kusisimua.. Bongo Star Seach itakuwa
kwenye Mikoa ya Arusha, Mbeya na Mwanza Pia itarushwa hewani kupitia
Clouds TV na Star Tv kwa wakati mmoja pamoja na kuweka kwenye Youtube na
mitandao ya kijamii“– Nimemnukuu Madam Rita.
Good news ni ujio mwingine wa Bongo Star Search 2015.. (Pichaz)
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment