UPDATES: - Mabasi yamepaki na machache yanayotoka nje ya mji yakifika Gongo la Mboto yanashusha abiria hayaendi mjini. Barabara ya Gongo la Mboto ilikuwa imefungwa kwa magogo na mawe mpka saa 12.30 askari walipokuja ndio wameyaondoa WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Updates za mgomo wa madereva wa magari Tanzania - Mei 5, 2015
Leo ni siku ya pili tangu kuanza kwa mgomo wa madereva.
nimepita maeneo ya Mbezi, Kimara hakuna daladala kabisa, watu wanasafiri kwa kupanda canter na bajaji.
Stand ya mkoa bado hakueleweki abiria wanaonekana kuwa wachache sana. Tofauti na siku ya jana.
UPDATES: - Mabasi yamepaki na machache yanayotoka nje ya mji yakifika Gongo la Mboto yanashusha abiria hayaendi mjini. Barabara ya Gongo la Mboto ilikuwa imefungwa kwa magogo na mawe mpka saa 12.30 askari walipokuja ndio wameyaondoa WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
UPDATES: - Mabasi yamepaki na machache yanayotoka nje ya mji yakifika Gongo la Mboto yanashusha abiria hayaendi mjini. Barabara ya Gongo la Mboto ilikuwa imefungwa kwa magogo na mawe mpka saa 12.30 askari walipokuja ndio wameyaondoa WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment