Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Patcho Mwamba: Hamna star wa kike ana nyota kama ya Wema Sepetu, ila dhambi yake ni moja...

Patcho Mwamba: Hamna star wa kike ana nyota kama ya Wema Sepetu, ila dhambi yake ni moja...

Mwanamuziki wa band ya Fm Academia Patcho Mwamba ambae pia ni muigizaji wa filamu, amejibu swali aliloulizwa kwenye mahojiano maalumu na Bestizzo "Je unahisi Wema halitendei haki jina lake au kuna sehemu anakosea?"

''Kwanza tuseme ukweli wa Mungu hamna star wa kike ana nyota kama ya Wema Sepetu, ni star ni star ni star ni star sana upande wa wanawake wote ndani ya bongo ila dhambi yake moja ni kuanika sana maisha yake... akiwa na mpenzi jamani mpenzi wangu ndio huyu hapa akiachana nae ni rahisi watu kujua...'' WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips