Diamond anasema alikutana na Zari kwenye ndege wakati anatoka kushoot video ya Coco Baby aliyoshirikishwa na Waje
diamondplatnumz anasema yeye na zarithebosslady wamepima na wapo safi!
Diamond anasema kwamba atakuwa ndani ya ndoa kabla ya mwaka huu haujaisha @diamondplatnumz @zarithebosslady #
0 comments:
Post a Comment