Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Ester: Jamani Mastaa Acheni Kuiba Waume za Watu!

Ester: Jamani Mastaa Acheni Kuiba Waume za Watu!

Staa wa Bongo Movies mwenye mvuto wa aina yake, Ester Kiama ameibuka na kuwachana mastaa wa kike wanaopenda kuiba waume za watu kwamba waache kwani si tabia nzuri. Akizungumza na GPL Ester alifunguka kuwa mastaa wanaochukua waume za watu, tabia zao siyo nzuri na kibaya zaidi wakishawachukua wanajigamba ili watu wawaone wako juu mjini wakati hawana lolote.

 “Siyo kwamba sijawahi kuwa na mume wa mtu, nilishawahi lakini nimetokea kuwachukia sana kwani hawana faida zaidi ya kuwapotezea wasichana muda wao, nimejifunza mengi na sitarudia tena hivyo nawasihi wenzangu waache kuiba waume za watu kwani watarogwa tu,” alisema EsterWEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips