Kipaji cha mtoto huanza kuonekana tangu
akiwa na umri mdogo lakini kipaji cha mtoto huyu kimewavutia wengi baada
ya kukimudu vyema angali akiwa na umri mdogo.
Akiwa na miaka yake mitano tu Ryusei kutoka Japan alimudu vyema kucheza mchezo wa kung fu kama mkongwe wa mchezo huo duniani mwigizaji Bruce Lee bila hata kuangalia video yake.
Kitendo hicho kilimfurahisha sana baba
yake na kuamua kushare video ya mtoto wake kwenye mitandao ya kijamii
akiigiza mtindo wa nunchuk ambayo mkongwe wa mieleka alikua akiitumia
huku akiwa ameweka video ya Bruce Lee kwa nyuma.
0 comments:
Post a Comment