Diamond: Tumeshapima DNA na kujua mtoto ni wa kike
Bwana mdogo Huyu alipokuwa anahojiwa na mtangazaji wa BBC na kuulizwa
swali kama ameshajua Jinsia ha mtoto kwa kushangaza kabisa alijibu yes
tumeshapima DNA na kujua mtoto wa ni wa kike.ushauri wangu kwa Dogo kwa
kusema ukweli ame emprove sana kwenye Lugha Ila tatizo ni mbwembwe na
uongo akiacha Uongo na mbwembwe lazima tutegemee makubwa zaidi toka
kwake.WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
Labels:
Diamond Platnum,
Zari The Lady Boss
0 comments:
Post a Comment