Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » , » ALI KIBA NA JOKATE Penzi ni Kikohozi Uwezi Kulificha, Wathibitisha Uhusiano wao kwa Picha Hizi

ALI KIBA NA JOKATE Penzi ni Kikohozi Uwezi Kulificha, Wathibitisha Uhusiano wao kwa Picha Hizi

Fresh Jumbe aliwahi kusema penzi ni kikohozi kulificha huwezi.
Na sasa penzi la Jokate Mwegelo na Alikiba limefikia hatua ambayo haliwezi kuwa siri tena. Wawili hao wamekuwa wakidaiwa kuwa wapenzi kwa miezi kadhaa sasa lakini bado binafsi hawajeza kukubali wala kukataa.

Lakini sasa huenda hatua za awali za kuelekea kuuweka hadharani uhusiano huo zimeanza kufanyika. Alianza Jokate aliyepost selfie kwenye Instagram akiwa na msanii huyo aliyejipa jina la King Kiba na kutoandika chochote. Picha hiyo imepata likes 13,215 na comments 824.

Naye Kiba jana alipost selfie nyingi kwenye akaunti yake ya Instagram na kuandika: Pop It In @jokatemwegelo #KingKiba.” Picha hiyo imevutia likes 8108 na comments 680.

Huenda picha hizo zikawa ni tangazo rasmi la uhusiano wao. Kuna tatizo moja lakini – Jokate aliwahi kuwa mpenzi wa Diamond Platnumz!

JE JOKATE NAFANYA HIVYO KUMUUMIZA DIAMOND? WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips