Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Ray C: Nimenenepa Lakini Kiuno Bila Mfupa Kiko Pale Pale, “Sina tofauti na Ray C wa zamani”

Ray C: Nimenenepa Lakini Kiuno Bila Mfupa Kiko Pale Pale, “Sina tofauti na Ray C wa zamani”

Rehema Chalamila aka Ray C amewatoa hofu mashabiki wa muziki wake, kuwa unene wake haujakiathiri kiuno chake bila mfupa bali kimemwongezea uwezo wa kukatika kuliko zamani!

Ray C ambaye alitamba na nyimbo kama ‘Sikuhitaji’ na ‘Umeniacha’, ameiambia Global TV kuwa anahisi uwezo wake wa kukatika umeongezeka zadii kutokana na unene.

Sina tofauti na Ray C wa zamani,” alisema. Ray C ni yule yule, kiuno cha zamani ni kile kile. Sema sasa hivi kina nyama kidogo kwahiyo sasa hivi nikifanya kidogo tu yaani ni rahisi zaidi kwangu.” WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips