Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Wema Sepetu Atoa Sababu ya Yeye Kutaka Mtoto wa Kiume!

Wema Sepetu Atoa Sababu ya Yeye Kutaka Mtoto wa Kiume!

Kupitia ukurasa wake  mtandaoni  Wema Sepetu ambae hivi karibuni aliweka wazi tatizo lake la kutoweza kushika ujauzito, jana usiku ameibua tena hisia za mashabiki wake baada ya kuweka picha akiwa na mtoto wakike,Sasha aliedai kuwa huyo ndiye kipenzi chake cha maisha na kusisitiza  kuwa hiyo ndio sababu ya yeye  kutaka mtoto wakiume kwani tayari anaye mtoto  wa kike.

Day well spent.... With the Love of my Life.... Reason y I want a baby boy.... Cause I already have my girl... Love her too much.... My flesh and blood....” –Wema aliandika hayo mara baada ya kuweke picha hiyo hapo juu.

Kitendo ambacho wengi walikiona bado lile tatizo lake la kutokuwa na uwezo wa kushika mimba linamsumbua kisaikologia mwanadada huyu na hivyo wengi walimpa moyo na kumshauri aendelee kutafuta wa taalamu zaidi na Mungu atamsaidia. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips