Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Vanessa Mdee: Japo Nina Boyfriend (Jux) ila Sasa Hivi Siwezi Kuwa na Mtoto…Ifahamu Sababu

Vanessa Mdee: Japo Nina Boyfriend (Jux) ila Sasa Hivi Siwezi Kuwa na Mtoto…Ifahamu Sababu

Muimbaji wa ‘Nobody But Me’ Vanessa Mdee a.k.a Vee Money ambaye hivi sasa ameweka wazi uhusiano wake na Jux ambaye ni boyfriend wake, ameweka wazi ni kipindi gani angependa kupata mtoto.

Vanessa (26) ambaye muziki wake umeanza kupata njia kwenye soko la kimataifa, amesema kuwa licha ya kuwa anapenda kupata mtoto lakini kwa sasa hayuko tayari kutokana na kuwa busy kupita kiasi.

“Sasa hivi sehemu ambayo nilipo katika maisha yangu niko very busy na kazi yaani, na nataka nikipata mtoto wangu au nikiwa tayari kupata mtoto niwe na uwezo wa kumlea sio kifedha tu lakini kuwepo katika maisha yake malezi ya mama yake ya karibu, akienda kulala nipo akiamka nipo kumchukua kutoka shuleni nipo, sasa hivi siwezi kufanya hivyo na siwezi kusema ndani ya miaka mitatu au minne mitano” Vee Money aliiambia Amplifaya ya Clouds Fm.

Alipoulizwa kama anampenda sana Jux alijibu, “Sana, he is a great guy…he is my boyfriend” WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips