Hivi ndivyo jiji Dar es Salaam Askari wamelazimika kutumia mabomu ya machozi katika kituo
cha mabasi yaendayo mikoani cha Ubungo kutuliza vurugu zinazofanywa na
abiria pamoja na wananchi kufuatia mgomo wa madereva. mgomo huo umehusiana na wao baada ya kuambiwa waende kusoma baada ya leseni zao kuisha
Home »
HABARI
» Picha:Hichi Ndicho Kilicho tokea leo Ubungo, Polisi Walazimika Kutumia Mabomu Kuwatawanya na Kutuliza Vurugu Zinazofanywa na Abiria
Picha:Hichi Ndicho Kilicho tokea leo Ubungo, Polisi Walazimika Kutumia Mabomu Kuwatawanya na Kutuliza Vurugu Zinazofanywa na Abiria
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog



0 comments:
Post a Comment