Alves ambaye amekaa ndani ya klabu hiyo
kwa miaka saba huku akiwa amekisaidia kikosi hicho kutwaa mataji
mbalimbali amekataa ofa mpya na kusema hajawa tayari kuongeza mkataba na
klabu hiyo.
Wakala wake Dinorah Santana
ambaye alikuwa mke wake wa zamani alisema mteja wake amekataa ofa
nyingine na klabu hiyo ya kuongezewa mkataba wa miaka mingine mitatu.
Beki huyo wa zamani wa Sevilla amekuwa akihusishwa kuhamia Manchester United,Manchester City zote za England pamoja na PSG ya Ufaransa.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment