Akizungumza na mwanahabari wetu mara baada ya kumjibu shabiki Gladmarry Edwine aliyemkejeli kupitia mtandao wa Instagram kuwa ikifika siku ya Kanumba Day (Aprili 7, mwaka huu), Lulu atajiliza ndipo staa huyo alipomtolea uvivu iwe fundisho.
“Yule alinikuta siku hiyo siko vizuri halafu niko Instagram nikaamua kumtolea uvivu kwa kumpaka maneno ya shombo iwe fundisho,” alisema Lulu.
“Yule alinikuta siku hiyo siko vizuri halafu niko Instagram nikaamua kumtolea uvivu kwa kumpaka maneno ya shombo iwe fundisho,” alisema Lulu.
Lulu alimwambia mtu huyo kuwa asijifanye anamjua sana Kanumba kuliko yeye ambaye alikuwa akilala naye kama mchumba wake. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment