Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Al Shabaab Waichimba Mkwala Kenya Baada ya Shambulio la Garissa, Wasema Wataendelea Kumwaga Damu Kenya Asipotimiza Masharti Haya

Al Shabaab Waichimba Mkwala Kenya Baada ya Shambulio la Garissa, Wasema Wataendelea Kumwaga Damu Kenya Asipotimiza Masharti Haya

Kundi la Kigaidi la Al shaabab Kutoka Somalia wametoa official Statement (Tamko) Kuwa Wenyewe ndio walio husika na Tukio la Kuvamia Chuo kikuu cha Garissa na kuuwa wanafunzi Takribani 147 wiki iliyopita..

Katika tamko hilo Al shabaab wamesema tukio hilo ilikuwa ni majaribio tu kwani wanapanga mauji makubwa zaidi ya hayo nchini humu kama Kenya Haita ondoa majeshi yake nchini Somalia ..

Taarifa hiyo imesema kuwa Wanajeshi wa Kenya wamekuwa Mstari wa Mbele kuuwa Wasomalia wa Kiislam huku Somalia na Kuwabaka Wanawake ovyo hivyo matukio haya wanayofanya sasa ni kulipiza Kisasi...

Nukuu:
"There will be no safer place for Kenyans as long as their troops are in Somalia," Rage said.

Over 5,000 KDF forces are currently in Somalia fighting the Al Shabaab militia.

“You will see more deadly attacks in your country, Kenya," said Rage as he praised the martyrs who butchered 147 kafirs (non-believers) and blew themselves up

Udaku SpeciallyWEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips