Zimefanyika
kampeni mbalimbali duniani kote kupinga tukio la wasichana waoaminiwa
kutekwa na kundi la kigaidi la Boko haramu nchini Nigeria, wasichana
ambao walitekwa wakiwa shuleni.
Leo Jumanne ya April 14 2015 watu
mbalimbali Nigeria wameandamana kimya kimya huku wakiwa wameziba midomo
katika jiji la Abuja pamoja na mabango yenye #BringBackOurGirls.. leo ni mwaka mmoja tangu wasichana 247 wa shule moja Chibok watekwe na kundi la Boko Haram huku wakiwa na mabango yenye ujumbe uliosomeka
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari amesema
ingawa hawezi kuthibitisha kama wasichana hao wataweza kuokolewa lakini
Serikali itafanya kila njia kuhakikisha wasichana hao wanapatikana.
Hapa nina hizi PICHAZ ambazo zinaonesha maandamano hayo leo NIGERIA.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment