Najua umesikia mengi toka msanii wa Bongofleva NALIMI MAYUNGA arudi kwenye HEADLINES baada ya kuibuka na ushindi wa shindano la Airtel Trace Music Star..
YES, jamaa kafanya poa kwa hiyo kwa sasa tunasubiri tu ile time ya
kuona ngoma zake ambazo zitafanywa studio ya Universal Music, Marekani.
Labda hukushuhudia ilivyokuwa Nairobi Jumamosi April 18 2015 hali
ilivyokuwa unaweza kucheki hapa PICHAZ za tukio lote mtu wangu.WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment