Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Nitaachaje kupenda makalio ya wanawake? Napitiliza Hadi Kituo Kisa Nimeona Mwanamke Mwenye Kalio Kubwa Ndani ya Dalala..Ushauri

Nitaachaje kupenda makalio ya wanawake? Napitiliza Hadi Kituo Kisa Nimeona Mwanamke Mwenye Kalio Kubwa Ndani ya Dalala..Ushauri

Mwenzenu karibia naumbuka yaani nikiona mwanamke mwenye makalio makubwa nachanganyikiwa kabisa nakupoteza network, yaani inafikia mahali hata kama niko kwenye daladala naenda mahali akipanda mwanamke aliyejaliwa maeneo ya nyumba basi nihakikisha nashuka kituo atakachoshuka hata kama nikupitiliza napoenda naona sawa tu ili mradi nimpe maneno mawili matatu huyo mwanamke . 

Hii Tabia imenifanya nipoteza muda na mambo mengi ya msingi katika maisha yangu , moja kubwa nakumbuka mwaka jana niliitwa kwenye interview shiriki moja maeno ya Kijitonyama sayansi, nikiwa kwenye daladala kutokea mwenge kwenda posta nilijikuta nimefika posta kwa kumfuata mdada mmoja, baada ya hapo nikajikuta nimechelewa hiyo Interview na mbaya zaidi huyo dada hakutaka hata kuongea na mimi baada ya kushuka kwenye dalala.

Waungwana Naombeni ushauri nifanye nini niache hichi kitabia?WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips