Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Jay-Z na Beyonce wakasirikiana kwa sababu ya Rihanna.

Jay-Z na Beyonce wakasirikiana kwa sababu ya Rihanna.

Jay-Z and Beyonce sit courtside at the Brooklyn Nets game against the Houston Rockets

Rapa maarufu duniani Shawn Correy Carter amemkera mke wake Beyonce kwa kitendo cha kuwa na mawasiliano binafasi na mwanamuziki ambaye Jay anasimamia kazi zake Rihanna .
Jay Z ambaye anatajwa kumiliki simu tofauti za mkononi ana simu maalum ambayo Ni Rihanna peke yake ambaye ana namba ya simu hiyo na watu walio karibu na rapa huyo na mkewe wanadai kuwa Beyonce amekerwa na kitendo hiki .
Vyanzo vya story hii vimedai kuwa Rihanna ana uhuru wa kumcheki Jay Z kwenye simu muda wowote na japo mawasiliano yaliyopo baina yao ni ya kibiashara na kikazi zaidi , Beyonce amekuwa hapendezwi na ukaribu huu uliopo baina ya watu hawa wawili japo hawezi kufanya chochote .
Jay-Z amekuwa na mawasiliano ya karibu na Rihanna ambayo yanamkera mkewe Beyonce.
Jay-Z amekuwa na mawasiliano ya karibu na Rihanna ambayo yanamkera mkewe Beyonce.
Jay Z inadaiwa anakatisha mazungumzo au shughuli yoyote anayoifanya wakati akipigiwa simu na Rihanna na wakati mwingine amekuwa akiacha hata kula ili tu azungumze na mrembo huyu na mar azote mazungumzo yao huwa marefu kuliko kawaida .
Story nyingine zinadai kuwa Beyonce na Rihanna wamekuwa hawazungumzi kwa muda mrefu na Beyonce amekuwa akimkwepa Rihanna katika hafla tofauti zinazowakutanisha karibuWEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips