Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Faiza Awapa Makavu Vijana wa Aina Hii

Faiza Awapa Makavu Vijana wa Aina Hii

Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Faiza Ally ameonekana kuungwa mkono na wengi baada ya kuwatolea uvivu vijana wanaopenda mtelemko katika maisha na kujikuta wakifanyiwa vitendo visivyofaa.
“Vijana wa kiume wadogo wadogo wana danganya na wanaume wenzao - wanageuzwa kwa ajili ya ugumu wa maisha na tamaa - yarab stara kwa watoto wetu .....Habari za mji huu zina sikutisha sana - kumbe ndio maana siku hizi wanaume wanapenda mik*ndu uwiii tunaelekea wapiiiiii wenzangu ? mimi nasikitishwa natamani kulia kwa sauti kubwa pamoja na yote Lakini Hapana jamani!! Na hofu maisha ya baadae ya watoto wetu “- Faiza aliandika kweye ukurasa wake mtandaoni
Kufuatia andiko hilo, watu wengi walionesha hasira zao kwa vijana wenye taibi hizo na kuikitika  juu ya maadili yetu kumong'onyeka kadrisiku zinavyozidi kwenda na kuwataka watu waache tabia hizo chafu.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips