Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Shamsa Ford 'Wanaosema Nimeachana na Mume Wangu Labda Wanamtaka'

Shamsa Ford 'Wanaosema Nimeachana na Mume Wangu Labda Wanamtaka'

MSANII wa filamu anayetamba na Filamu ya Chausiku, Shamsa Ford amewafungukia watu wanaoeneza taarifa kuwa ameachana na mumewe, Dickson Matoke kwamba hakuna kitu kama hicho.

Akizungumza na Uwazi, Shamsa alisema kuwa hajaachana na mumewe huyo na wote wanaosema hivyo watakuwa wanamtaka.“Bado nipo na mume wangu tena kajaa tele, nashangaa hao wanaosema kuwa tumeachana labda wanamtaka,” alisema Shamsa.WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips